Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Kampuni ya Ujenzi ya CRJE kutoka China imesaini Mkataba wa kuanza ujenzi
wa jengo la Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma katika mji wa Serikali
Mtumba unaotarajia kuanza mapema Januari 2023. Tukio la utiaji saini
limefanyika katika Ofisi ya Tume iliyopo Chimwaga Dodoma, baina ya Tume
na Mkandarasi CRJE na kuhudhuriwa pia na Mshauri ujenzi - TBA.
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.