Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Ziara ya Makamishna wa Tume kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, 22 Novemba 2022

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Mheshimiwa Jaji Mstaafu Hamisa H. Kalombola pamoja na Makamishna wa Tume,  leo tarehe 22 Novemba 2022 wanafanya ziara kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa lengo la kuelimisha, kuelekeza, kuhimiza uwajibikaji, kujifunza na kubadilishana uzoefu ili kuboresha uendeshaji na usimamizi wa masuala ya kiutumishi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, Taratibu, Miongozo na Nyaraka mbalimbali zinazotolewa na Serikali. 

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

31-05-2022

TAARIFA KWA UMMA

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.