Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (USEMI) itapokea Taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (USEMI) leo tarehe 19 Oktoba 2022  itapokea Taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2021/2022, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya Kamati hiyo katika kusimamia utendaji kazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.   

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

31-05-2022

TAARIFA KWA UMMA

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.