Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MHESHIMIWA JAJI (MST.) HAMISA H. KALOMBOLA ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA UTUMISHI WA UMMA, DODOMA

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mheshimiwa Jaji (Mstaafu) Hamisa H. Kalombola, leo ametembelea Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, zilizopo Chimwaga, Dodoma kwa lengo la kukutana na Watumishi wa Tume na kuona namna wanavyotekeleza majukumu yao na amewasisitiza Watumishi wa Tume kuendelea kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kwa weledi. Mheshimiwa Jaji (Mstaafu) Hamisa H. Kalombola aliambatana na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew M. Kirama. 

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

31-05-2022

TAARIFA KWA UMMA

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.