Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma afungua mafunzo ya Usimamizi wa Mfumo wa Vihatarishi (Risk Management)

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama amefungua mafunzo ya usimamizi wa Mfumo wa Vihatarishi (Risk Management) yaliyofanyika leo katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jijini Dodoma. Mafunzo haya yameandaliwa kwa lengo la kuwapa uelewa Menejimenti ya Tume ya Utumishi wa Umma na Washiriki wengine ili waweze kutambua dhana ya Mfumo wa Usimamizi wa Vihatarishi na Uandaaji wa Daftari la Vihatarishi.  

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

31-05-2022

TAARIFA KWA UMMA

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.