Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Heri ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew M. Kirama amewatakia Watanzania wote Heri ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kauli Mbiu ya mwaka huu katika  Maadhimisho haya yanayoadhimishwa leo tarehe 26 Aprili, 2022 ni "Uwajibikaji na Uongozi Bora"   

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.