Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

WATENDAJI WA OFISI YA RAIS, KAMISHENI YA UTUMISHI WA UMMA-ZANZIBAR WATEMBELEA TUME YA UTUMISHI WA UMMA

Watendaji wa Ofisi ya Rais, Kamisheni ya Utumishi wa Umma, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo wameitembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma, Jijini Dodoma kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa masuala mbalimbali ya kiutendaji. Kamisheni ya Utumishi wa Umma ni Taasisi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo imeanzishwa kwa Sheria ya Utumishi wa Umma namba 2 ya mwaka 2011 na marekebisho yake ya mwaka 2012.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.