Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

KATIBU WA TUME ANAWATAKIA WATUMISHI WA UMMA NA WATANZANIA WOTE HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2022

Katibu wa Tume ya Utumishi ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama, leo tarehe 23/12/2021  amewatakia Watumishi wa Umma na Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya wa 2022. Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama kupitia salamu hizi amewakumbusha Watumishi wa Umma "HAKI NA WAJIBU DAIMA".  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.