Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Watumishi wa Umma -Warufani wasilisheni Rufaa Tume ndani ya muda uliowekwa kisheria

Watumishi wa Umma wamekumbushwa wajibu wao wa kuwasilisha Rufaa Tume ya Utumishi wa Umma ndani ya muda uliowekwa usiozidi siku 45 tangu alilipokea barua ya uamuzi kutoka katika Mamlaka ya Nidhamu. (Kwa mujibu wa Kanuni ya 61(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003. Wito huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Balozi Daniel Ole Njoolay, Mhe. Balozi John M. Haule na Bw. Mathew M. Kirama, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.