Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

JAJI RUFAA (MST.) MHE. DKT. STEVEN J. BWANA NA BW. MATHEW M. KIRAMA, KATIBU WA TUME (PSC) WATASHIRIKI KATIKA KIPINDI CHA JAMBO TANZANIA -MBASHARA TBC 1 TAREHE 16/11/2021. uSIKOSE KUFUATILIA KIPINDI HIKI KUANZIA SAA 01:20 ASUBUHI

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Rufaa (Mst.) Dkt. Steven J. Bwana na Katibu wa Tume Bw. Mathew M. Kirama watashiriki katika Kipindi cha Jambo Tanzania kitakachorushwa mbashara kupitia kituo cha TBC1 tarehe 16 Novemba 2021 kuanzia saa 01:20 asubuhi, Mada itakuwa ni RUFAA NA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA UMMA.
USIKOSE KUFUATILIA KIPINDI HIKI: 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.