Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

KIKAO KAZI CHA TUME NA WADAU KUJADILI MPANGO MKAKATI UNAFANYIKA MKOANI MORORORO

Kikao kazi cha Tume ya Utumishi wa Umma na wadau kinafanyika Mkoani Morogoro kujadili Mpango Mkakati wa Tume "Strategic Plan" iliyoandaliwa wa Kipindi cha mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026. Washiriki katika Kikao kazi hiki ni Wakuu wa Idara, Sehemu na Vitengo vya Tume pamoja na Wadau kutoka katika Taasisi za Umma. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.