Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

KIKAO KAZI CHA UHUISHAJI WA MIONGOZO YA MASUALA YA NIDHAMU NA AJIRA INAYOANDALIWA NA TUME YA UTUMISHI WA UMMA, KINAFANYIKA MKOANI MOROGORO

Kikao kazi cha Wakuu wa Idara, Sehemu, Vitengo wa Tume ya Utumishi wa Umma na baadhi ya watumishi wa umma kinafanyika Mkoani Morogoro kwa lengo la kupitia Miongozo ya Masuala ya Nidhamu na Ajira inayoandaliwa na Tume ya Utumishi wa Umma. Mkurugenzi wa Miongozo, Uwezeshaji na Utafiti wa Tume (DGDR), Bw. Bambumbile Mwakyanjala amesema Kikao hiki kimelenga  kuiwezesha Tume ya Utumishi wa Umma kuhuisha Miongozo ya Ajira na Nidhamu katika Utumishi wa Umma kuwawezesha Waajiri, Mamlaka za Ajira na Nidhamu kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayotolewa.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.