Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

KAMISHNA YAMBESI AMPONGEZA DKT. NATU E. MWAMBA

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma Mheshimiwa George Yambesi amempongeza Dkt. Natu E. Mwamba kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uendelezaji Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) na amemtakia kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu yake mapya. Kamishna Yambesi amesema haya leo tarehe 10 Mei, 2021 wakati akifungua mafunzo ya kuwajenga uwezo watumishi wa KADCO yanayotolewa na Tume ya Utumishi wa Umma. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.