Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MKUTANO WA TUME NA.3 KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 UMEHITIMISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji (Mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana, leo amehitimisha Mkutano wa Tume namba 3 kwa mwaka wa fedha 2020/2021 uliofanyika kuanzia tarehe 15-17 Machi na 12-23 Aprili 2021 Jijini Dar es Salaam.

Katika Mkutano huu Tume imetoa uamuzi wa Rufaa na Malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa na watumishi  wa umma ambao hawakuridhika na uamuzi uliotolewa na Mamlaka zao za Ajira na Mamlaka za Nidhamu.
 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.