ZIARA YA TUME YA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR
ZIARA YA TUME YA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR
Tarehe 24/09/2026, Tume ya Utumishi wa Umma ilipata fursa ya kutembelewa na ugeni kutoka Tume ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Ziara ilifanyika Makao Makuu ya Tume Mtumba Jijini Dodoma.