Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tume yazungumza na Uongozi wa Wizara ya Nishati na Madini
Ziara ya Mhe. Omari Kitenge Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, iliyofanyika leo tarehe 14/09/2026 katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini akiambatana na As Muhidini Muro kwenye zoezi la kufunga Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Sheria katika Utumishi wa Umma (Exit Meeting). Aidha katika Ziara hiyo Mhe. Kamishna alipata fursa ya kuzungumza na menejimenti ya Taasisi hiyo na kusisitiza namna ya ushughulikiwaji wa masuala ya kinidhamu bila kuruka taratibu zozote ili kuiondolea serikali hasara ,pia Mhe Kamishna alisisitiza kuzingatiwa kwa Kanuni, Sheria na Miongozo mbalimbali ya Kiutumishi.

slot gacor