Tume yashiriki Ukaguzi Ngorongoro
Tume yashiriki Ukaguzi Ngorongoro
Mwenyekiti wa Tume,Mhe.Jaji(Mst.)Hamisa.H.Kalombola akiambatana na Katibu wa Tume Bw.Nolasco Kipanda pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti pamoja na Timu ya Ukaguzi,wameshiriki zoezi la ukaguzi pamoja na kutoa elimu kwa Watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) tarehe 15/9/2026 mjini Karatu.
Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka,Bw.Joas Makwati kwa niaba ya Watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro aliratibu pamoja na kupokea Ujumbe wa Tume.