Tume yafanya Kikao cha kufunga Ukaguzi DAWASA
Tume yafanya Kikao cha kufunga Ukaguzi DAWASA
Mhe. Kamishna Balozi Adadi Rajabu na Naibu Katibu, Bw. John Mbisso wameshiriki Kikao cha Kufunga( Exit Meeting) DAWASA leo tarehe 15/09/2026. Kabla ya Kikao hicho, Mhe. Kamishna alipata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa DAWASA Makao Makuu, DSM. For GCU, without Jounalistic Angle.