MAADHIMISHO YA SIKU YA TUME
MAADHIMISHO YA SIKU YA TUME
Katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Siku ya Tume "Tume day" Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene alishiriki zoezi la kupanda miti katika Ofisi mpya za Tume zinazojengwa katika Mji wa Serikali - Mtumba tarehe 28/09/2024