TACAIDS yakaguliwa na Tume
TACAIDS yakaguliwa na Tume
Ziara ya Mhe. Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Salama Jabir iliyofanyika leo tarehe 11/09/2026 katika Ofisi za Tume ya Kuthibiti Ukimwi Tanzania(TACAIDS) akiambatana na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria, Bw. Charles Mulamula kwenye zoezi la kufunga Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Sheria katika Utumishi wa Umma (Exit Meeting). Aidha katika Ziara hiyo Mhe. Kamishna alipata fursa ya kuzungumza na menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo na kusisitiza kuendelea kuzingatiwa kwa Kanuni, Sheria na Miongozo mbalimbali ya kiutumishi.