Uapisho wa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma
Uapisho wa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma
Tarehe 1/07/2026, Ilifanyika hafla ya Uapisho wa Katibu wa Tume (KT) Bw. Nolasco Jacob Kipanda katika Ikulu ya Magogoni, Jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan