Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

HAFLA FUPI YA KUWAAGA MAKAMISHNA WA TUME
Pichani, Hafla fupi ya kuwaaga Makamishna wa Tume waliomaliza muda wao wa kuhudumu katika Taasisi kwa miaka mitatu iliyofanyika Aprili 11, 2025 katika Ukumbi wa UCSAF Dodoma .