Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray amefanya ziara yake ya kwanza ya kikazi katika Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) ambapo ametoa maelekezo mbalimbali ya kuboresha utendaji kazi katika Utumishi wa Umma.