Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Matukio

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika azungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika amefanya ziara katika Tume ya Utumishi wa Umma na kufanya kikao na Makamishna na watumishi wa Tume. Katika kikao hicho,

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) afanya ziara katika Tume ya Utumishi wa Umma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) afanya ziara katika Tume ya Utumishi wa Umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amwapisha Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemwapisha Jaji Mstaafu Dkt. Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma.

Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu

Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.