Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Jaji (Mst) Hamisa H. Kalombola amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jumuiya ya Tume za Utumishi wa Umma Afrika (AAPSCOMs) kanda ya Afrika Mashariki.
28 Jan, 2025 Pakua

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma - Tanzania  (PSC) , Jaji (Mst)  Hamisa H. Kalombola amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jumuiya ya Tume za Utumishi wa Umma Afrika (AAPSCOMs) kanda ya Afrika Mashariki.