Picha ya pamoja ya kumbukumbu baina ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray wakiwa pamoja na Menejimenti ya Tume ya Utumishi wa Umma katika ziara yake ya kwanza ya kikazi katika Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) iliyofanyika tarehe 24/11/2025 Chimwaga - Dodoma .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray (pichani kushoto) wakiwajadiliana na Menejimenti ya Tume (PSC) wakati ya ziara yao ya utambulisho tarehe 24/11/2025.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray amefanya ziara yake ya kwanza ya kikazi katika Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma (PSC)tarehe 24/11/2025 ambapo ametoa maelekezo mbalimbali ya kuboresha utendaji kazi katika Utumishi wa Umma.