Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MAANDALIZI YA MKUTANO WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA.04 KWA MWAKA 2019/2020

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Jaji (mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana (kushoto) akisisitiza jambo kwa Kaimu Katibu wa Tume Bw. John Mbisso (katikati) na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu (DAHRM), Mary A. Fidelis (kulia) wakati alipotembelea ukumbi wa mikutano wa HAZINA (Dar es Salaam)  kuangalia hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya Mkutano wa Tume Na.04 kwa mwaka 2019/2020 unaotarajia kufanyika kuanzia Jumatatu tarehe 22 Juni 2020.Mkutano huu utafanyika huku tahadhari ya kujikinga na ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya Corona ikiendelea kuchukuliwa.  (Picha na Richard Cheyo- HGCU PSC)  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.