Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

WATUMISHI WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA WANAPATIWA MAFUNZO KUHUSU UKAGUZI WA RASILIMALI WATU

Tume ya Utumishi wa Umma kupitia Idara ya Ukaguzi wa Rasilimali Watu  inaendesha mafunzo kuhusu Ukaguzi wa Rasilimali Watu, yanayofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 06 hadi 12 Oktoba 2020 kwa lengo la kuwajengea uwezo watumishi wa Tume.   

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.