Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mafunzo ya “OPRAS’’ yatolewa kwa Watumishi wa Mamlaka ya Maji Moshi - Kilimanjaro

Tume ya Utumishi wa Umma imetoa mafunzo kuhusu Upimaji Utendaji Kazi wa Wazi “OPRAS”  kwa Watumishi  109 wa Mamlaka ya Maji – Moshi, Kilimanjaro. Mafunzo haya yametolewa na Bwana Salvatory Kaiza, Afisa Utumishi Mkuu wa Tume  kuanzia tarehe 20 hadi 22 Novemba 2019 na yalilenga kuwawezesha watumishi na kuwajengea uelewa wa Mfumo wa “OPRAS’’. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.