Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amwapisha Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemwapisha Jaji Mstaafu Dkt. Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma.

Pamoja na kumwapisha Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Rais Magufuli amewaapisha Makamishna 6 wa Tume ya Utumishi wa Umma ambao ni:

1. Bw. George D. Yambesi

2. Balozi Mstaafu John Michael Haule

3. Bi. Immaculate P. Ngwale

4. Bw. Yahaya F. Mbila

5. Daniel Ole Njoolay

6. Bi. Khadija Mohamed Mbarack

Aidha, uteuzi wa Mwenyekiti na Makamishna hao wa Tume ya Utumishi wa Umma ulianza tarehe 22 Novemba, 2018.

 

 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.