Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu

06/12/2018
Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, uliofanyika Kitaifa katika ukumbi wa Kambarage, Jengo la Treasury Square Jijini Dodoma. Aliyekuwa Mgeni Rasmi katika mjadala huo ni Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Mohamed Othman Chande. Wadau mbalimbali walishiriki katika mjadala huo wakiwemo Viongozi mbalimbali wa Serikali, watumishi wa Umma, Asasi za Kijamii na wananchi. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.