Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

WAFANYAKAZI WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MEI MOSI 2021, UWANJA WA UHURU - JIJINI DAR ES SALAAM

Wafanyakazi  wa Tume ya Utumishi wa Umma leo 01/05/2021 wameungana na Wafanyakazi  katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani - Mei Mosi 2021 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Tume (PSC) Bw. Muhidini Rajabu Mbegu ametumia nafasi hiyo kumpongeza Bi. Nuru A. Hanti  kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Bora wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2021. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.