Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

TAHADHARI DHIDI YA CORONA (COVID-19)

TAHADHARI DHIDI YA CORONA (COVID-19):-  ‘Wito umetolewa na Serikali kwa Watanzania kuzingatia taarifa za kitaalamu, kwa kuwa kirusi  aina ya Corona (Covid-19) huambukizwa kama Mtu atapiga chafya, kukohoa na majimaji kuingia kwa mtu mwingine na endapo atashikana na mtu au mahali penye virusi na kushika sehemu za macho, pua na mdomo. Tuzingatie tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huu kama zilivyotolewa na Wataalamu’. DALILI:- Kichwa kuuma na maumivu ya kooni; Homa; Kikohozi; Kupumua kwa shida.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.