Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

TAARIFA KWA UMMA - KUHAMA KWA OFISI YA TUME

Tunapenda kuwataarifu Wananchi na Wadau wote kuwa Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) imehama kutoka Jengo la Ubungo Plaza, lililopo Barabara ya Morogoro.

Ofisi mpya ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) iko katika Jengo la Luthuli 1, Ghorofa ya 3 na 4 lililokuwa linatumiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, lililoko Barabara ya Luthuli, Dar es Salaam.

KWA MAWASILIANO ZAIDI:-

Katibu,
Ofisi ya Rais,
Tume ya Utumishi wa Umma,
6 Mtaa wa Albert Luthuli, Ploti Namba 10
S.L.P. 9143,
DAR ES SALAAM
Simu:-  +(255)  738 166 703
Nukushi:-  
Barua Pepe:-  secretary@psc.go.tz
Tovuti:  www.psc.go.tz

   

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.