Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru - 09 Disemba 2019

Mwenyekiti, Makamishna, Menejimenti na Wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa Umma wanaungana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Watanzania wote katika kuadhimisha Miaka 58 ya  Uhuru.

Kauli Mbiu: Uzalendo,Uwajibikaji na Ubunifu  ni Msingi wa Ujenzi wa Uchumi wa Taifa Letu.

Tunapoadhimisha miaka 58 ya Uhuru, Tume inawakumbusha Watumishi wa Umma kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu, Miongozo na Maelekezo  halali yanayotolewa na Serikali. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.