Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mkuchika: Suala la Utawala Bora Tanzania tumepiga hatua kubwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Kapt. (Mstaafu) George Mkuchika amesema tunapojitathmini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu tunapaswa kutambua kuwa Tanzania  tumepiga hatua kubwa katika suala la Utawala Bora, katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, sisi ni wa pili. Mheshimiwa Mkuchika amesema hayo leo 06/12/2019 wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, jijini Dodoma. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.