Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, 2019 kitaifa - Dodoma.

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bwana Nyakimura Muhoji, tarehe 04/12/2019 kuanzia saa 01:00 hadi 01:45 asubuhi atashiriki katika Kipindi cha Morning Magic kupitia Kituo cha Magic Fm 92.9;  na kuanzia saa 02:30 hadi 03:30 asubuhi atashiriki katika Kipindi cha Baragumu kupitia Kituo cha televisheni cha Channel 10.  Katibu wa Tume, atazungumza kuhusu Tume ya Utumishi wa Umma pamoja na Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa kwa mwaka 2019, Maadhimisho yatakayofanyika jijini Dodoma.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.