Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298, imewapa Watendaji Wakuu dhamana na Mamlaka ya kusimamia Rasilimali Watu walio chini yao

Kwa mujibu wa Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma Toleo la mwaka 2008, wajibu mkubwa wa usimamizi wa watumishi umebaki mikononi mwa kila Mwajiri, Mamlaka ya Ajira na Mamlaka ya Nidhamu. Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 imewapa Watendaji Wakuu dhamana na Mamlaka ya kusimamia Rasilimali Watu walio chini yao katika maeneo ya Ajira, Upandishwaji vyeo, Uendelezaji wa Watumishi kwa njia ya Mafunzo, Tathmini ya utendaji kazi, Likizo, Uchukuaji wa hatua za nidhamu na Hitimisho la kazi kwa mujibu wa Sheria.

   

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.