Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 16 hadi 23,2019

Katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma, Tume ya Utumishi wa Umma inapenda kuwakaribisha wadau wake wote kufika katika banda la Tume lililopo mbele ya jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam zilipo ofisi za Tume, tarehe 18 hadi 21 Juni, 2019 kuanzia saa 3:00 Asubuhi hadi saa 10:00 Jioni. Maafisa wa Tume watatoa elimu na kusikiliza kero ama changamoto mbalimbali za wadau wake na kuzitafutia ufumbuzi. Pia watapokea ushauri na maoni ya wadau ili kuleta ufanisi zaidi katika utendaji kazi.   

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.