About PSC
 
Introduction
Organisation Chart
Events and Calendar
 
Current Events
Archives
Gallery
 

 

RUFAA NA MALALAMIKO YALIYOPOKELEWA

TAARIFA ZA HATUA ZILIZOFIKIWA KATIKA USHUGHULIKIAJI WA
RUFAA/MALALAMIKO ZILIZOWASILISHWA TUME

SN TRACK NUMBER AINA YA RUFAA/LALAMIKO HATUA ILIYOFIKIWA
1.
PSC/LGSD/MACHI,2010/7

Kupinga adhabu ya
kuachishwa kazi

Vielelezo vinasubiriwa toka kwa Mkurugenzi Mtendaji Sumbawanga DC
2.
PSC/LGSD/SEPTEMBA,2010/16 Anapinga adhabu ya
kuvukuzwa kazi na
Mamlaka yake ya nidhamu
Vielelezo havijawasilishwa DED Nzega
3.
PSC/LGSD/SEPTEMBA,2010/19 Kupinga adhabu ya
kuachishwa kazi
Vielelezo havijawasilishwa DED Geita
4.
PSC/LGSD/SEPTEMBA,2010/20 Kupingwa adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo havijawasilishwa DED Nzega
5.
PSC/LGSD/SEPTEMBA,2010/23 Anapinga adhabu ya kupunguziwa mshahara Vielelezo havijawasilishwa DED Nkasi
6.
PSC/LGSD/OKTOBA,2010/25 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo havijawasilishwa DED Makete
7.
PSC/LGSD/SEPTEMBA,2010/18 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo havijawasilishwa DED Moshi
8.
PSC/LGSD/SEPTEMBA,2010/22 Kupinga adhabu ya kuachishwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka DED Hanang na uchambuzi unaendelea
9.
PSC/LGSD/OKTOBA,2010/24 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka DED Misungwi na uchambuzi unaendelea
10.
PSC/LGSD/NOVEMBA,2010/26 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka DED Kyela na uchambuzi unaendelea
11.
PSC/LGSD/NOVEMBA,2010/27 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka MC Kinondoni na uchambuzi unaendelea
12.
PSC/LGSD/NOVEMBA,2010/28 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka DED Kyela na uchambuzi unaendelea
13.
PSC/LGSD/NOVEMBA,2010/31 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka MC Kinondoni na uchambuzi unaendelea
14.
PSC/LGSD/MEI,2010/8 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Vielelezo vimepokelewa toka DED Kwimba na uchambuzi unaendelea
15.
PSC/LGSD/JUNI,2010/11 Kupinga adhabu ya kuachishwa kazi Vielelezo vimewasilishwa na uchambuzi unaendelea
       
16. PSC/CSD/23/6/2009 Kupinga kufukuzwa kazi Ilikubaliwa
17. PSC/CSD/08/02/2009 Kupinga kufukuzwa kazi Bado
18. PSC/CSD/08/09 Kupinga Onyo kali Ilikubaliwa
19. PSC/CSD/01/09/2009 Kupinga kusitishwa ajira Ilirejeshwa kwa mwajiri wake
20. PSC/CSD/12/01/2009 Kupinga kufukuzwa kazi Ilikataliwa
21. PSC/CSD/02/12/2009 Kupinga kufukuzwa kazi Ilikataliwa
22. PSC/CSD/03/01/2009 Kupinga kusitishwa kwa ajira Bado
23. PSC/CSD/01/02/2010 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Kibali kimeombwa UTUMISHI ili iweze kushughulikiwa
24. PSC/CSD/02/01/2010 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Suala hili linashughulikiwa na mamlaka nyingine
25. PSC/CSD/20/02/2010 Kupinga kuachishwa kazi Ilikuja kama nakala
26. PSC/CSD/03/10/2010 Kupinga taratibu za ajira Alishauriwa awasilishe lalamiko kwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko
27. PSC/CSD/03/06/2010 Kukata rufaa ya kufukuzwa kazi Ilikataliwa
28. PSC/CSD/01/05/2010 Kukata rufaa ya kufukuzwa kazi Ilikataliwa
29. PSC/CSD/26/08 Kupinga adhabu ya kuachishwa kazi Rufaa ilikubaliwa
30. PSC/CSD/01/10/07 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Ilikataliwa
31. PSC/LEGAL/SEPT/2009/35 Kupinga kufukuzwa kazi na utumishi Ilikubaliwa
32. PSC/CSD/02/6/2010 Kukata rufaa ya kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi na mwajiri Ilikataliwa
33. PSC/CSD/01/8/2010 Kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kufukuzwa kazi kwa kosa la utoro kazini Rufaa ilikataliwa na Tume na adhabu ya kufukuzwa kazi ilithibitishwa
34. PSC/CSD/APPEAL/MACHI/2010 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi Ilikataliwa
35. PSC/CSD/1/12/2010 Kupinga adhabu ya kufukuzwa kazi kwa kosa la utoro katika kituo cha masomo huko Japan Bado
36. PSC/CSD/2/12/2010 Kupinga adhabu ya karipio Bado
37. PSC/CSD/31/2/2010 Kupinga adhabu ya onyo Rufaa imechambuliwa bado kujadiliwa na Tume
   
38. PSC/LEGAL/AUGUST 2010/28 Rufaa (Kufukuzwa kazi na Utumishi) Imechambuliwa
39. PSC/LEGAL/AUGUST 2010/29 Rufaa (Kufukuzwa kazi na Utumishi) Imechambuliwa
40. PSC/LEGAL/NOVEMBER 2010/34 Rufaa (Kufukuzwa kazi na Utumishi) Imechambuliwa
41. PSC/LEGAL/OCTOBER 2010/35 Rufaa (Kupinga kumrejesha mtumishi kazini) Imechambuliwa
42. PSC/LEGAL/NOVEMBER 2010/36 Rufaa (Kufukuzwa kazi bila Utumishi) Inachambuliwa
43. PSC/LEGAL/NOVEMBER 2010/37 Rufaa (Kufukuzwa kazi na Utumishi) Inachambuliwa
44. PSC/LEGAL/NOVEMBER 2010/38 Lalamiko (Kutopewa barua ya kustaafishwa) Linashughulikiwa
45. PSC/LEGAL/DECEMBER 2010/39 Rufaa (Kufukuzwa kazi bila Utumishi) Inachambuliwa
46. PSC/LEGAL/DECEMBER 2010/40 Rufaa (Kufukuzwa kazi bila Utumishi) Imechambuliwa
47. PSC/LEGAL/DECEMBER 2010/41 Rufaa (Kufukuzwa kazi bila Utumishi) Imechambuliwa
48. PSC/LEGAL/DECEMBER 2010/42 Lalamiko (Kusimamishwa kazi kwa mwaka mmoja na miezi sita) Limeshughulikiwa
49. PSC/LEGAL/JANUARY 2011/1 Rufaa (Kufukuzwa kazi na Utumishi) Inachambuliwa
50. PSC/LEGAL/JANUARY 2011/2 Lalamiko (Kutokuwa na imani na Katibu TSD) Limeshughulikiwa
51. PSC/LEGAL/JANUARY 2011/3 Rufaa (Kufukuzwa kazi bila Utumishi) Imechambuliwa
52. PSC/LEGAL/JANUARY 2011/4 Rufaa (Kufukuzwa kazi na Utumishi) Inachambuliwa
 


 

 

 

 

 


 





   
   
     
   
   
     
.
     

 

Copyrights 2006. www.psc.go.tz