Mada iliyotolewa na Katibu wa
Tume katika Semina elekezi Ngurudoto_Arusha, 13-18 Machi
2006. Download
Toleo kuhusu taratibu za kuendesha usaili.Download
Ijue Tume ya Utumishi wa Umma (Katika Mfumo wa Picha)Download
HOTUBA YA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA BIBI THECLA W. SHANGALI YA KUMKARIBISHA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA MHE. HAWA A. GHASIA (MB.) KUZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA NA TOVUTI YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA, TAREHE 17 JUNI 2007, MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM.Download
Wiki ya Utumishi wa Umma barani Afrika ilifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambayo ilianza tarehe 15 Juni 2009 na kumalizika tarehe 23 Juni 2009.
Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma kwa bara la Afrika yaliadhimishwa tarehe 19 Juni 2009.
Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Ali Shamuhuna aliyafungua rasmi maonesho hayo tarehe 16 Juni 2009 ambayo yalishirikisha Wizara, Idara na Taasisi za Serikali 184 ikiwa ni pamoja nchi Nne za barani Afrika.
Hotuba ya Ufunguzi ya Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Ali Shamuhuna Soma
Hotuba ya Waziri wa Nchi - Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Hawa A. Ghasia (MB) Soma
Katika maadhimisho hayo Tume ya Utumishi wa Umma ilifanikiwa kushika nafasi ya tano katika eneo la Taasisi zinazosimamiwa vizuri na kutunukiwa Cheti cha ushindi. (CHETI)